Kinyoga Darasani
Soma Nasi ni msururu wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mada mbalimbali. Hadithi hizi zitawawezesha wanafunzi wenye uwezo tofautitofauti kuimarisha stadi za lugha walizojifunza daras ... Read More
Soma Nasi ni msururu wa hadithi zilizoandikwa kwa kuzingatia mada mbalimbali. Hadithi hizi zitawawezesha wanafunzi wenye uwezo tofautitofauti kuimarisha stadi za lugha walizojifunza darasani. Wanafunzi watafurahia kuzisoma hadithi hizi kwa lengo la kujiburudisha na pia kufanya mazoezi ya stadi za lugha.
Kinyonga Darasani ni hadithi inayoangazia mazingira ya darasani. Mwalimu yuko taya ...
Read Less  
Full Description