Tubadilishe Jina

KES609.00

Kinyume na sifa na siha yake, kaunti aliyoitawala ilikuwa nyeusi; weusi uliowatia wakazi huzuni kutokana na ulafi na mapuuza ya viongozi. Baya zaidi, sauti za wapinzani dhidi ya umaskini, ... Read More

Kinyume na sifa na siha yake, kaunti aliyoitawala ilikuwa nyeusi; weusi uliowatia wakazi huzuni kutokana na ulafi na mapuuza ya viongozi. Baya zaidi, sauti za wapinzani dhidi ya umaskini, ukosefu wa ajira na magonjwa zilizimwa. Tubadilishe Jina ni riwaya inayomulika maovu mbalimbali katika jamii yetu ya leo, na madhara yanayotokana na uongozi mbaya. Hadithi hii, vilevile, inaangazia n ...
Read Less   Full Description