Mwanamke aliyebeba Chatu
Kitabu hiki, Mwanamke Aliyebeba Chatu na Hadithi Nyingine, ni kimoja kati ya vitabu vya kujisomea vya Shirika la Uchapishaji la Oxford, katika mfululizo wa Hadithi za Chiriku kwa shule za ... Read More
Kitabu hiki, Mwanamke Aliyebeba Chatu na Hadithi Nyingine, ni kimoja kati ya vitabu vya kujisomea vya Shirika la Uchapishaji la Oxford, katika mfululizo wa Hadithi za Chiriku kwa shule za msingi. Vitabu vya Hadithi za Chiriku vina mambo mbalimbali ya kusisimua na kuchangamsha akili kwa watoto wa madarasa ya juu
ya shule za msingi. Mazoezi yaliyoko mwisho wa kila kitabu yanakuza zaidi ...
Read Less  
Full Description