Kiswahili Dadisi - Mazoezi ya lugha Darasa la 2, Kitabu cha Mwanafunzi

KES220.00

Mazoezi ya Lugha Gredi 2 Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezes ... Read More

Mazoezi ya Lugha Gredi 2 Kiswahili Dadisi, Mazoezi ya Lugha ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa upekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa mpya wa Umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopende ...
Read Less   Full Description