|
Mfululizo wa Kisawhili Fasaha utamwandaa mwanafunzi wa Kiswahili kwa yote anayoyahitaji. Ni mfululizo unaokidhi matakwa ya silabasi mpya ya Kiswahili kwa ajili ya shule za sekondari, na umetayarishwa kwa ustadi na mabingwa wa lugha hii.
Ni vitabu murua vinavyojenga msingi imara wa lugha ya Kiswahili kuanzia elimu ya msingi, na huwapitisha wanafunzi kwenye vidato vya ngazi mbalimbali hadi kilele cha kuithamini na kuifurahia lugha yao ya taifa. Hii hapa zana mwafaka ya wanafunzi wa lugha ya Kiswahili.
Rudi kwa vitabu vya Mwanafunzi
|
|
Kiswahili Fasaha: Mwongozo wa Mwalimu Kidato cha 1 |
|
By: F Waititu et al. ISBN: 978 019 572941 2 Format: 210 x 148 mm Extent: 148 pages Binding: Thread sewn Year: 2003 Price: Kshs. 355.00
|
|
Kiswahili Fasaha: Mwongozo wa Mwalimu Kidato cha 3 |
|
By: F Waititu et al. ISBN: 978 019 572945 0 Format: 210 x 148 mm Extent: 176 pages Binding: Thread sewn Year: 2004 Price: Kshs. 430.00
|
|
|
Kiswahili Fasaha: Mwongozo wa Mwalimu Kidato cha 2 |
|
By: F Waititu et al. ISBN: 978 019 572943 6 Format: 210 x 148 mm Extent: 176 pages Binding: Thread sewn Year: 2003 Price: Kshs. 430.00
|
|
Kiswahili Fasaha: Mwongozo wa Mwalimu Kidato cha 4 |
|
By: F Waititu et al. ISBN: 978 019 573286 3 Format: 210 x 148 mm Extent: 192 pages Binding: Thread sewn Year: 2005 Price: Kshs. 545.00
|
|
|
|
|
|