Maskini Milionea

KES626.40

Maskini Milionea na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zinazoakisi hali katika maisha ya wanadamu; hisia zao, changamoto na ufanisi wao. Ubora wa hadithi katika mkusanyiko huu ... Read More

Maskini Milionea na Hadithi Nyingine ni mkusanyiko wa hadithi fupi zinazoakisi hali katika maisha ya wanadamu; hisia zao, changamoto na ufanisi wao. Ubora wa hadithi katika mkusanyiko huu haumo tu katika uanuwai wa fani na maudhui, bali pia kwenye mseto wa ufundi wa wachangiaji ambao wana asili na mitazamo tofautitofauti. Hadithi hizi zilizoandikwa na waandishi kutoka maeneo mbalimba ...
Read Less   Full Description