Upeo wa Insha kwa Shule za Upili
Upeo wa Insha kwa Shule za Upili ni kitabu kilichoandikwa na walimu wenye tajiriba pana ili kumwongoza mwanafunzi hatua kwa hatua katika utungaji na uandishi wa insha. Katika kitabu hiki, ... Read More
Upeo wa Insha kwa Shule za Upili ni kitabu kilichoandikwa na walimu wenye tajiriba pana ili kumwongoza mwanafunzi hatua kwa hatua katika utungaji na uandishi wa insha. Katika kitabu hiki, utapata:
insha zote zilizopendekezwa katika silabasi ya Kiswahili kwa shule za upili
maana ya kila aina ya insha
miundo ya aina zote za insha
sifa bainifu kwa kila aina ya insha
umuhimu na tahad ...
Read Less  
Full Description