Kitabu changu cha picha
Kitabu Changu cha Picha ni kitabu chenye picha za kuvutia kwa wanafunzi wa chekechea. Kitabu hiki kitawasaidia wanafunzi kukuza stadi za lugha kwa urahisi ili waweze kujieleza vyema. Kita ... Read More
Kitabu Changu cha Picha ni kitabu chenye picha za kuvutia kwa wanafunzi wa chekechea. Kitabu hiki kitawasaidia wanafunzi kukuza stadi za lugha kwa urahisi ili waweze kujieleza vyema.
Kitabu hiki kina picha za rangi ambazo zitavuta na kuteka makini ya wanafunzi. Picha hizi zimeambatana na maneno. Maneno yameteuliwa mahususi kutoka katika msamiali wa mada mbalimbali zilizoainishwa kat ...
Read Less  
Full Description