Mfululizo wa Kiswahili Fasaha utamwandaa mwanafunzi wa Kiswahili kwa yote anayoyahitaji. Ni mfululizo unaokidhi matakwa ya silabasi mpya ya Kiswahili kwa ajili ya shule za sekondari, na umetayarishwa kwa ustadi na mabingwa wa lugha hii. Ni vitabu murua vinavyojenga msingi imara wa lugha ya Kiswahili kuanzia elimu ya msingi, na huwapitisha wanafunzi kwenye vidato vya ngazi mbalimbali hadi kilele cha kuithamini na kuifurahia lugha yao ya taifa. Hii hapa zana mwafaka ya wanafunzi wa lugha ya Kiswahili. Kila kitabu kina Mwongozo wa Mwalimu.
|
|
Kiswahili Fasaha: Kitabu cha Mwanafunzi Kidato cha 1 |
|
By: F Waititu et al. ISBN: 978 019 572940 5 Format: 250 x 176 mm Extent: 184 pages Binding: Thread sewn Year: 2003 Price: Kshs. 385.00
|
|
Kiswahili Fasaha: Kitabu cha Mwanafunzi Kidato cha 3 |
|
By: F Waititu et al. ISBN: 978 019 572944 3 Format: 250 x 176 mm Extent: 224 pages Binding: Thread sewn Year: 2004 Price: Kshs. 480.00
|
|
|
Kiswahili Fasaha: Kitabu cha Mwanafunzi Kidato cha 2 |
|
By: F Waititu et al. ISBN: 978 019 572942 9 Format: 250 x 176 mm Extent: 216 pages Binding: Thread sewn Year: 2003 Price: Kshs. 470.00
|
|
Kiswahili Fasaha: Kitabu cha Mwanafunzi Kidato cha 4 |
|
By: F Waititu et al. ISBN: 978 019 573285 6 Format: 250 x 176 mm Extent: 264 pages Binding: Thread sewn Year: 2005 Price: Kshs. 450.00
|
|
|
|
|
|