Kamusi ya Kiswahili Sanifu 4TH ED

KES1,020.00

Kamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza ilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta ... Read More

Kamusi ya Kiswahili Sanifu ina historia ndefu. Toleo la kwanza ilichapishwa mwaka 1981. Toleo hili la nne limeboreshwa na kupangwa upya ili kumwezesha mtumiaji kupata taarifa anayoitafuta kwa urahisi. Toleo hili lina: - Zaidi ya vidahizo vipya 1000 - Kurasa 48 za rangi zenye mada mbalimbali - Zaidi ya methali 500 zilizotolewa maana - Nahau na Misemo iliyotolewa maana ...
Read Less   Full Description